Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Hiki hapa kikosi cha maangamiziKikosi bado?
Kumbe na wewe ni shabiki la Misso Misondo, umejiungaje we Uto 😁😁Asee Uwanja n mweupeee naona hawa waliokuja n mashabiki wa Misso misondo
Tulia leo mfinywe vizuriKumbe na wewe ni shabiki la Misso Misondo, umejiungaje we Uto [emoji16][emoji16]
Natabiri huu uzi kukimbiwa na wafuasi wa mo.Lolote liwakute wana 5imba
[emoji736][emoji736]Simba 1 Wydad 1
Simba 1 Wydad 1
Umeenda Taifa?Haina haja,
Muhimu Simba ashinde bana.
Tukutane kwa Mkapa! nitakwenda mapema.
Cheki nalo hili[emoji736][emoji736]
Misso Misondo amewalegezaje enyi Uto 😁😁Tulia leo mfinywe vizuri
Sio kila mtu anauweza uwanja mkuu na sio kila mtu yupo dar..... Kumbuka mweziMzee game inachezwa hapa Dar halafu uingalie kwenye Azam Sports?
seriously?
Wewe ni mnyama?
Twende Uwanjani bana