Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂 anatokaje
Hapana mkuu sina ridhaa hiyoWeka dada
😂😂😂😂Mechi pekee ambayo mashabiki wa Simba hawaipendi ni hii ya leo wanatamani hata wasiende uwanjani ila wanajipa matumaini ya uwepo wa baleke na wanaombea sana sare
Asipodaka tukawafunga watapata kisingizio kwa air manula hakuwepo. Wanatakiwa wapigwe wakiwa wamekamilika...Unadhania Mashuti ya Aziz Ki mchezo Mkuu.
Hataki aibu ingine. 😂😂
Kama Manula ameshatafuta visingizio Mtani hapo tegemea maumivu pekee Mtani. 🤣🤣🤣Mtani Shadeeya leo zamu yako kulala na viatu. Usipolala navyo nitafute kwa lunch.
Naona kama Vipers tu amebadili jina kuwa Simba 😂🤣😃
Wote hamna akili, mechi ya SAA 11 unaanzisha Uzi usiku kama siyo uchizi ni nini? huwa mnalipwa shingapi?No, imetokea wote tumepost muda mmoja kutokana na uzito wa game husika. Mods wataunga utabaki uzi mmoja nao tutatembea nao tu kibingwa
Hakika Mkuu awepo awepo kwani madhaifu yake tunayajua sana tu.Asipodaka tukawafunga watapata kisingizio kwa air manula hakuwepo. Wanatakiwa wapigwe wakiwa wamekamilika...
Hizi ni hasira za uzee. Nani amekupa mamlaka ya kuwapangia watu muda wa kuanzisha uziWote hamna akili, mechi ya SAA 11 unaanzisha Uzi usiku kama siyo uchizi ni nini? huwa mnalipwa shingapi?
Kibu DenisHizi ni hasira za uzee. Nani amekupa mamlaka ya kuwapangia watu muda wa kuanzisha uzi