FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

Utaratibu wa tiketi za kuingia uwanjani ukoje?
Wadau nipeni mwongozo hapa ili nisiikose hii game.
 
JamiiForums1183979758.jpg
 
Mtani Shadeeya leo zamu yako kulala na viatu. Usipolala navyo nitafute kwa lunch.

Naona kama Vipers tu amebadili jina kuwa Simba 😂🤣😃
Kama Manula ameshatafuta visingizio Mtani hapo tegemea maumivu pekee Mtani. 🤣🤣🤣

Sema nini Mtani maandishi ya ahadi yako nimeyakoleza kwa rangi ya Kijani na njano. Teh Teh 🤣🤣
 
Back
Top Bottom