FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

Mimi ni Yanga ila Hapa leo kuna "baby football" na "mature football". Haka kabrazil wanakadharau tu ila toka nione Viper anamnyanyasa Yanga nikajua hata leo kuna shida. Technically yupo vizuri na leo kuna weza kuwa na mkono wa nyani hapa. Jamaa wanacheza "straight and mature football" ukiachana na hao akina Mayele wanaopata nafasi na kona zaidi ya 8 lakini hazina matokeo chanya.
 
Weekend mod..
FB_IMG_1681656597858.jpg
 
Back
Top Bottom