Yeah na naona al ahly wameanza kudefend sanaWachezaji wametulia sana uwanjani, sehemu pekee nilipo na wasiwasi ni kwa Zimbwe Jr tu.
Wanajaribu kumsoma mpinzaniMbna al ahly wanadefense sana kuliko kwenda mbele wameanza kuogopa 🤣🤣🤣
Tunacheza chini sana muda mwingi tupo kwenye half yetu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nani kamchambua beki wetu mpaka ameanguka chini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chemalone naona kaburuzwa what a turn