FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League
Arsene Wenger atabaki na kumbukumbu nzuri ya Tanzania sio Simba. Unadhani ubao ungesoma 5-0 kwa Ahly future yetu ktk soka kama Nchi ingekuwaje?
Tunataka kuwaona akina Samatta wengine EPL kama wenzetu Nigeria, Ghana, Burkina Faso n.k ambao tayari wanaaminika huko.

Ona tumepata heshima ya mechi ya ufunguzi, bado AFCON 2027. Ni ujinga kuwashangilia Waarabu dhidi ya bendera ya Nchi yetu.
Ila nyie pia siwashabikii. Lol
Arsene Wenger alitoa heshima ya juu kwa Simba kwa kusimama (standing ovation) baada ya Simba kufunga goli la pili. Ni goli la kiufundi sana na limetafutwa kiufundi sana!! Kwa hiyo Arsene Wenger atabaki na kumbukumbu nzuri sana ya Simba kwanza (iliyomfanya aje Tz) kisha ya Tanzania (iliko simba)..
 
Arsene Wenger atabaki na kumbukumbu nzuri ya Tanzania sio Simba. Unadhani ubao ungesoma 5-0 kwa Ahly future yetu ktk soka kama Nchi ingekuwaje?
Tunataka kuwaona akina Samatta wengine EPL kama wenzetu Nigeria, Ghana, Burkina Faso n.k ambao tayari wanaaminika huko.

Ona tumepata heshima ya mechi ya ufunguzi, bado AFCON 2027. Ni ujinga kuwashangilia Waarabu dhidi ya bendera ya Nchi yetu.
Ila nyie pia siwashabikii. Lol
Una busara sana Nifah, ndjvyo shabiki wa kweli wa soka nchini anapaswa kuwa. Huu ndiyo ushabiki wa soka wa viwango. Kuiona soka ya Tanzania kama familia moja.

Ova
 
Hayo yalikuwa ni maboresho ya fast kuruhusu hii game ipite. Utafungwa then maboresho makubwa yatafanyika na kuisha July 2024.
Kakwambia nani? Kwahiyo unamaanisha hata Simba ikitokea kasonga mbele ataenda kutumia uwanja upi? Huko kusonga mbele kwa Simba ni mbali, Jumatatu tu huo uwanja utatumika kwenye mechi ya Yanga vs Azam
IMG_20231021_125138.jpg
 
Hawa Al Ahly[emoji1093]siku wakikutana Yanga SC[emoji1241]pale kwa makapa watapasuliwa za kutosha kwa sababu kuna muda wanajisahau kuziba nafasi hasa ukiwashambulia kwa kasi

Na ni moja ya siraha ya Yanga ni kasi wanashambulia kwa speed sana kiasi kwamba ukiwaachia tu nafasi kidogo lazima wakufunge"

[emoji2399]Alex Ngereza
 
Back
Top Bottom