Sijui kwanini watu hawasemi, kuna haja ya Kapombe na Mohd Hussein kuwekwa nje taraitibu na hasa Kapombe alikuwa na game mbaya sana hakushinda hata 1-1 moja walikuwa wanapita tu labda Alhly huku kushoto walikuwa na watu wabaya sana lakini kwa uzoefu kwa Kapombe angeleta vita ila ilikuwa kinyume walikuwa wanapita tu. Kapombe akienda Egypt kama leo basi itakuwa majanga. Mohd Hussein position haikuwa nzuri yule Mmakonde hata JKT Ruvu hachezi. Jamani vile vifaa viwili kushoto Slim sijui na Shehate ni balaa kama huna fitness nzuri na umakini yatakukuta ya Kapombe.