FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League
Azam complex tutakua tunafanyia mazoezi mepesi wakati kwa mkapa tutakua tunachezea mechi, hakuna mbwa tutamruhusu kutumia hivyo viwanja...

Hapo kwa mkapa tumetumia pesa nyingi sana kukarabati, hatuwez mruhusu mbwa yoyote apeleke kwato zake pale
 
Baada ya mechi..Infantino,Wenger ,Mosepe na viongozi wengine wakubwa wa Soka Duniani walienda dressing room ya Simba na kuwasalimia na kuwapongeza wachezaji...aissee
F85p7I6W8AARhJo.jpg
 
Kwa kweli game ilikua ya kiume sana, kongole kwa Simba, chama langu,
Uwanja wa Mkapa umefanyiwa maboresho makubwa sana, sikuona tofauti na ulaya au South Africa, tuzidi kuboresha uwanja wetu.
CC
financial services
Sijacheki game ila naskia mmeupiga mwingi, hongereni watani, japo mna kelele sana ila acha utaifa kwanza, how are you Simba fan?
 
Tumeanza kwenda Cairo leo?

Baada ya matokeo yenu mfukoni kubuma ndiyo kauli ya wachawi iliyobaki.


Usijizime data Wiki chache zijazo Al Ahly watarudi kwa Mkapa.
Kule mnachezeaga 5,kuanzia leo nakupa home work kapombe na mwenda wakifanyiwa sub kama watapeana mikono niite mchawi 😀,mnaamini uchawi hadi mmewapa ujinga wachezaji wenu full kurogana
 
Back
Top Bottom