DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Ww ulivyokandwa na Ihefu ukwel aliambiwa nan
Tatizo lenu hamtaki kuambiwa ukweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo lenu hamtaki kuambiwa ukweli.
statusWw ulivyokandwa na Ihefu ukwel aliambiwa nan
Kuna shida mahali kweny nchi hi hatuna majasusi mahiri kbsaMkuu umewaza nje ya boksi. Hii ndio tunita akili kubwa.
Kongole kwako
Takwimu zinaongea... Simba siwadai chochote
Kumbe bado wanajipa moyo 😀,watakachokutana nacho cairo awatosahauHalina ubishi hilo Swahiba. Saa hii hawana namna zaidi ya kujifurahisha tu. 🤣🤣🤣
Ifikie kipindi Simba areview ile slogan yakeSasa kama kwenye uwanja wako wa nyumbani unapata sare! Tena ya magoli 2-2!!! Kweli??? Halafu wakati huo huo unajifahamu fika huna rekodi nzuri kwenye viwanja vya Waarabu, kama ilivyo kwa kaka yako!!!
Kweli kuna shabiki anaamini timu yake itasonga hatua inayofuata kwenye haya mashindano ya Bonanza!!! Au ndiyo mwendo wameumaliza!!!
Dah still tunafunga magoli magumu sanaaa, kuwania mipira 50/50 imeonekana kutushinda hata hivyo Nina wasiwasi na ukabaji wa ngoma mno maana nimeona anakabia macho, kucheza Kwa Luis ilikuwa ni bet...
Reality ni kwamba tumezidiwa mbali sana na al ahly licha sisi kupossess sana, unaiona hatari ya al ahly pindi wakishika mpira, wao naona hucheza kwa malengo pia Nina ukakasi na concentration, focus, kujiposition Kwa wachezaji hasa kwenye kipindi cha psychological games/tricks mfano faulu, kadi, ugomvi wa hapa na pale hili ni muhimu kuliangalia Kwa upana, lakini kama tunataka kufika mbali Kuna wachezaji hatutakiwi kuwa nao au kuwategemea sana kwenye kikosi ni wakati wa maingizo mapya tena vijana, kwani hivi Sasa wanachezea majina tu ni muda wa kuwaamini vijana tulionao mfano mwenda tumuamini huyu kijana ni potential ni wakati wa kumtengenezea confidence though nafasi ya kucheza si zawadi lazima uistahili...all in all siyo mbaya Kwa hili.
Sioni sababu ya kumtukana huyu jamaa kisa kuwaambia ukweli kumuita mtu usie mfahamu shoga Ni ukozefu was akili na pesa piaAcha ushoga,unahangaika sana wee papai
Hayo yalikuwa ni maboresho ya fast kuruhusu hii game ipite. Utafungwa then maboresho makubwa yatafanyika na kuisha July 2024.Kwa kweli game ilikua ya kiume sana, kongole kwa Simba, chama langu,
Uwanja wa Mkapa umefanyiwa maboresho makubwa sana, sikuona tofauti na ulaya au South Africa, tuzidi kuboresha uwanja wetu.
CC
financial services
Kwani kuna mtu nilimtukana humu jukwaani baada ya kufungwa na hao Ihefu? Au kuna mtu nilimzuia kutoa maoni yake humu jukwaani?Ww ulivyokandwa na Ihefu ukwel aliambiwa nan
Tatizo humu jukwaani tuna watoto wengi wadogo wa miaka ya 2000. Hawa vifaranga huwa hawaoni kazi kuwatukana hata baba/mama zao matusi ya nguoni.Sioni sababu ya kumtukana huyu jamaa kisa kuwaambia ukweli kumuita mtu usie mfahamu shoga Ni ukozefu was akili na pesa pia
Rwanda wametuacha mbali sana, kanchi kadogo lakini kanafanya mambo makubwaKuna shida mahali kweny nchi hi hatuna majasusi mahiri kbsa
Rwanda Kweli ndio wajaze mabango uwanja wetu Tena wa serekali nimeona aibu mno leo
Well said mkuu.. sina shaka na wwKwani kuna mtu nilimtukana humu jukwaani baada ya kufungwa na hao Ihefu? Au kuna mtu nilimzuia kutoa maoni yake humu jukwaani?
Jibu ni hapana! Mimi kama mimi nilimshutumu tu kocha kwa kupanga kikosi cha wachezaji wengi wasio na match fitness. Mechi iliyofuata alipanga kikosi kizuri na tukapata ushindi.
Ushauri; tujitahidi kuvumiliana. Hata kama hufurahishwi na maoni ya mjumbe mwingine.
Huyu Percy wako uliyekuwa unam praise kafanya nini leo?Percy Tau kanyoa! tumeishaView attachment 2787172
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]ndo maana mnaishia robo fainali na hizi kauli zenu etiih hatuwadaiHatuwadai SIMBA
You did it
Kongore kwa mnyama[emoji1548]
This might be true.....Ngoma /Kanoute/Mzamiru wote hao ni no 8 sio no 6
Mara ya mwisho kuwa na no 6 halisi alikuwa Lwanga na ndo msimu tumefungwa goli chache CAF hata huyu Al ahly atupiga moja tu Cairo
So ukweli ni kuwa Simba kwa sasa hatuna no 6(kiungo mkabaji halisi anayewalinda mabeki)
Tuna mabeki bora kabisa Inonga na Malone ila wataendelea kufungwa sana magoli sababu hawana no 6