FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League
Hapana mkuu uzalendo kwanza
Vichwa vya utopolo
Screenshot_20231020-202502.jpg
 
Ivi na hizi game bado kinanani ya goal la ugenini?
 
Hawaaamini macho yaooooooo
Hawaamini macho yao kutokana na matokeo ya sare ya 2-2! Tena kwenye uwanja wa nyumbani!!

Kimahesabu kilicholindwa hapo ni heshima tu ya kutokufungwa. Zaidi ya hapo, mnafahamu fika mkifika Cairo Misri, ni kichapo tu. Ila msiumie sana. Kaka zenu Yanga watakuja kuwafuta machozi.
 
Bila shaka wewe ni kabwili,unahangaika mnoo kusaka mume
Kwa tunaowajua waarabu nadhani tunaelewa kuwa safari yenu imeisha ( ayubu fc ).. mkienda kule mwafwa[emoji23][emoji23]
Kumbuka ni Yanga ndio ilimkanda mwarabu kwake USM Alger

Nini kifanyike
Simbaakimbie mechi au akubali yaishe au amtafute prof Nabi awape tuition ya kumfunga mwarabu kwake

NB: Tukutane j3 kwenye Derby kubwa East Africa Azam vs wananchi ( kiboko ya waarabu)
 
Hata Ihefu inawavingirishaga vyema Uto...
Na kuna siku inashindikana..
Zamani vs sasa.
Ihefu ni sasa (muendelezo wa record yao Mbeya)
Ikitokea mbeleni Ihefu wameshindwa kufanya hivyo ndio utasema imeshindikana ila sio sasa.

Al Ahly ni sasa vs zamani
Simba alikuwa ana muweza Al Ahly uwanja wa Mkapa ila kwasasa kamshindwa.
 
Miquison hamumuoni Jamani? Au Kibu ana gundu!!!
Miquison alikuwa hatukabi, kibu kipindi cha kwanza alikuwa anatukaba na hii ni sababu ya position aliyoanzishwa..

Kuna comment yangu kipindi kikosi kimetoka, nililalamikia hili suala la kibu kuanza kama namba 9.
Kama namba 9 kibu alikuwa anaruka ruka na hapo uliponiquote ni 1st half
 
Hawaamini macho yao kutokana na matokeo ya sare ya 2-2! Tena kwenye uwanja wa nyumbani!!

Kimahesabu kilicholindwa hapo ni heshima tu ya kutokufungwa. Zaidi ya hapo, mnafahamu fika mkifika Cairo Misri, ni kichapo tu. Ila msiumie sana. Kaka zenu Yanga watakuja kuwafuta machozi.
Wameshakufa kibudu
 
Kwanza niambiwe kesho ratiba ikoje Nan atacheza na wapi atacheza


Ila rwanda Wana majasusi Bora sana wamejipenyeza Hadi ikawa ndio makao makuu ya AFL na Kisha ktk mabango yey ndio kinara alfu Tanzania Hakuna tangazo lolote linalo tuhusu sisi tulio weeka bilion 30 kukarabati uwanja nimenitafakati sna
 
Back
Top Bottom