DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Mtajua hamjui
Mpira ni rahisi ukiitizama kwenye Tv.Chama anazingua aisee dah goli la wazi mbona
Shida ni kwamba mnatatarajia makubwa sana kutoka kwa Ahly kana kwamba wao wanatumia robots.Al ahly IKO OVERRATED SANA ILA HAMNA TEAM HPA
Saidoo akapumzike half time tupate straika pale Kibu D arudi pembeni