Nimerudi leo, nimeyapokea na asante sana mtani. ProvedWoooow!.....kumbe upo madam....
Pokea maua yako🥀🥀🌹🌹🌺🌺
Sijui waliwaza nini na ndio chanzo cha kufungwa. Inaonekana Baleke kama kanywa ulanzi. Ametoka mchezoni kabisa na kugomba kila mara.Pressure ya kuanza kubishaana ilifanya kukosa utulivu, shape ya kujilinda na akili ya kujilinda ikakosekana .
Kweli Mungu ana kazi nyingi sasa wewe ulitaka al ahly apoteze mbele ya simba hii iliyofuzu caf mbele ya wauza umeme wa zambia kwa goli la home advantage stupidMungu saidia team yetu[emoji1545]
Kwa upishi
Kwa mipira ya juu labda tuingie na ngazi
Ndio uafrica wenyeweSijui waliwaza nini na ndio chanzo cha kufungwa. Inaonekana Baleke kama kanywa ulanzi. Ametoka mchezoni kabisa na kugomba kila mara.
Acha ufala wewwKocha Mtoe Baleke Mlete Phiri
Baleke huwa hana tofauti na Morisson..!Sijui waliwaza nini na ndio chanzo cha kufungwa. Inaonekana Baleke kama kanywa ulanzi. Ametoka mchezoni kabisa na kugomba kila mara.
Mkuu mi ni mnyama pia, ila tumeweka hela kwa muarabu, ushabiki haushibishi tumbo🤣🤣🤣🤣Nasikitika kusema mnyama atakufa tu leo.
Nimeshindwa hata kui test wameikata tenaOya speed ipo au kama Kobe tu