Kavunjika!!!Enonga anachukuliwa kwenda Hospitali moja kwa moja
Kama wew tu jana kaka uliumia saana yaani saanaππππ€£π€£πππGoal anafungwa Coastal lakini anayeumia ni πΈ
Kwa ile reaction yake pale chini inaonesha ameumia sanaKavunjika!!!
Sasa huyo Haji Ugando si ni kijana wenu huyo! Amefanya makusudi bila shaka ili kuhalalisha kichapo cha magoli mengi kwa timu yake.Captain wa Coastal Union amepewa kadi nyekundu kwa kumchezea faulo Enonga
Hata sikuumia kwanza I was very busy hata mpira siku angalia.Kama wew tu jana kaka uliumia saana yaani saanaππππ€£π€£πππ
Unawashwa na mshono ehh!!Dogo mimi siyo Rage! Nitakugeuza kuwa fisi. Shauri yako
Hii nakaziaSasa huyo Haji Ugando si ni kijana wenu huyo! Amefanya makusudi bila shaka ili kuhalalisha kichapo cha magoli mengi kwa timu yake.
Foul ya makusudi kabisa ile haina bahati mbaya. Hakuna kitu nakichukia kama Mtu kukatisha ufanisi wa mwenzake Kwa upuuzi tu.Naona ni bahati mbaya sana...
Hata sikuumia kwanza I was very busy hata mpira siku angalia.
Eti ndugu zangu, huyo beki aliyechomesha goli, hajapewa kweli bahasha ya khaki! Ninauliza tu lakini