Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Kavunjika!!!Enonga anachukuliwa kwenda Hospitali moja kwa moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kavunjika!!!Enonga anachukuliwa kwenda Hospitali moja kwa moja
Kama wew tu jana kaka uliumia saana yaani saana😂😂😂🤣🤣😁😁😁Goal anafungwa Coastal lakini anayeumia ni 🐸
Kwa ile reaction yake pale chini inaonesha ameumia sanaKavunjika!!!
Sasa huyo Haji Ugando si ni kijana wenu huyo! Amefanya makusudi bila shaka ili kuhalalisha kichapo cha magoli mengi kwa timu yake.Captain wa Coastal Union amepewa kadi nyekundu kwa kumchezea faulo Enonga
Hata sikuumia kwanza I was very busy hata mpira siku angalia.Kama wew tu jana kaka uliumia saana yaani saana😂😂😂🤣🤣😁😁😁
Unawashwa na mshono ehh!!Dogo mimi siyo Rage! Nitakugeuza kuwa fisi. Shauri yako
Hii nakaziaSasa huyo Haji Ugando si ni kijana wenu huyo! Amefanya makusudi bila shaka ili kuhalalisha kichapo cha magoli mengi kwa timu yake.
Foul ya makusudi kabisa ile haina bahati mbaya. Hakuna kitu nakichukia kama Mtu kukatisha ufanisi wa mwenzake Kwa upuuzi tu.Naona ni bahati mbaya sana...
Hata sikuumia kwanza I was very busy hata mpira siku angalia.
Eti ndugu zangu, huyo beki aliyechomesha goli, hajapewa kweli bahasha ya khaki! Ninauliza tu lakini