3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Leo lazima tukae juu mtuambie kabisa zinatakiwa goli ngapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utopolo mnavyoziogopa penati ! 😁mechi ya nyau bila penati ama red card haiwez tokea
Faulo sio faulo?
hakuna refa hapoArajiga sio refa qq.mk
Amejibu kama kanjanja tu wa mpira. Mechi iliisha kwa 0-0, eti yeue anasema iliisha kwa 3-1!! Mbumbumbu at his best
Aseee....Malipo ni hapa hapa Duniani,unakumbua jinsi alivyotaka kumuua Sureboy?
Sent using Jamii Forums mobile app
utaacha ogopa penati kwa marefa ambao hawajielewiUtopolo mnavyoziogopa penati ! 😁
mechi haina mzuka ni papatu papatuHattrick
labda zipatikane red 3Bado 7
Hivi wewe leo ulitegemea kuna mpira serious hapo? Huoni Azam TV wameamua kuredi hii match kwakutumia tekno f1Arajiga sio refa qq.mk
Sahihi...mechi ya nyau bila penati ama red card haiwez tokea
😂😂😂🤣🤣😁😁Bahati mbaya mpira wa miguu kuna watu wanasifiwa kwa uhuni
Huyu mpeni kipaza atangaze magoli. Naona ana kelele sanaAmejibu kama kanjanja tu wa mpira. Mechi iliisha kwa 0-0, eti yeue anasema iliisha kwa 3-1!! Mbumbumbu at his best
Sasa kama wakicheza vizuri malalamiko ya nini tena? Hivi nyie uto mnafikiria kwa kutumia ubongo kama sisi Kweli?Leo hutasikia malalamiko kwa mashabiki wa Mikia kwenda kwa kocha wala mchezaji yeyote yule
Sent using Jamii Forums mobile app