DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Uko serious Kweli Unafatilia Mpira Hivi ulikuwa uwanjani au ulikuwa wapi..Sawa nammesajili wapya na bado wanapangana kama nyumbu , halafu wanafunga goli moja
simba almost ina wachezaji wapya, kuna muda wa kutengeneza combination hilo nalo litwchukua muda, and sidhan kma ubingwa ni target yao kwa sasa, mashabiki wanataka instant impact but it takes timeSimba imekaa kama imebaki miezi mitatu hivi ya kujiandaa kabla ya msimu. Trust me kama simba ndo hii inaanza ligi habari ya ubingwa sahau. Timu kuanzia Namungo, KMC hadi Pamba zitajipigia. Yanga ndo usiseme itajipigia hadi MO ajiteke tena
Me Simba,ila hii timu bado mkuuMsije mmejipa ushindi wa moja kwa moja siku hiyo, huu ni mpira sio draft.
Uko serious Kweli Unafatilia Mpira Hivi ulikuwa uwanjani au ulikuwa wapi..
HAya magoli huoni kama ni Mawili na Yanga walifungwa magoli matatuna APR
Au umesahau hii
View attachment 3060785
Enjoy sokaDuchu naye anakiwasha...
Hii Simba hii....Naogopa
Na sijui kama wataweza kukamilisha usafiUto msiondoke mkafagie uwanja
Uko serious Kweli Unafatilia Mpira Hivi ulikuwa uwanjani au ulikuwa wapi..
HAya magoli huoni kama ni Mawili na Yanga walifungwa magoli matatuna APR
Au umesahau hii
View attachment 3060785
Terehe 8 tu hapo tunatibia kila ugonjwa pale ukoloni. Naona wanajisf wana mbioNadhani kipimo kizuri kwa Simba itakuwa tarehe 8/8
Ni mapema mno kuipima simba kwenye siku yao. Ingawa kuna wachezaji wanapambana sana.
Kama kocha anataka kufanikiwa asifuate majina kwenye kikosi chake.
Uko serious Kweli Unafatilia Mpira Hivi ulikuwa uwanjani au ulikuwa wapi..
HAya magoli huoni kama ni Mawili na Yanga walifungwa magoli matatuna APR
Au umesahau hii
View attachment 3060785
Ila haya mambo bwana unaweza kuta simba ikashinda lkn huko mbele ikawa na majanga matupuNadhani kipimo kizuri kwa Simba itakuwa tarehe 8/8
Ni mapema mno kuipima simba kwenye siku yao. Ingawa kuna wachezaji wanapambana sana.
Kama kocha anataka kufanikiwa asifuate majina kwenye kikosi chake.
Simba bado inatengeneza timu.Nadhani kipimo kizuri kwa Simba itakuwa tarehe 8/8
Ni mapema mno kuipima simba kwenye siku yao. Ingawa kuna wachezaji wanapambana sana.
Kama kocha anataka kufanikiwa asifuate majina kwenye kikosi chake.
SanaNouma, Fernandez, Okajepha, Mutale, Ahoua na Awesu ni maingizo mazuri katika kikosi cha Simba Sc na sina wasiwasi nao.
Fabrice Ngoma, Kapombe na Zimbwe, wajitathimini sana.