Ni Siku Kubwa, Siku ya wenye Nchi, wengi
Wanaifahamu kama "Simba Day". Tutakuwa "LIVE
AND DIRECT" Hapa Kijiwe cha Soka "JAMII
SPORTS" Kukuletea yote vanaondelea kutokea
pale Benjamini Mkapa katika hii siku Kubwa, kwa
wana simba
Simba Sc Imetangaza Kufungua Mageti ya Uwanja
Kuanzia Saa 2 kamili asubuhi na Kutarajia Kuujaza
uwanza ifikapo saa 6 Kamili Mchana. Baada ya
Ticket Zote kuwa "SOLD OUT" Baadae Saa 1 kamili
Jioni Mtanange Wa Mpira Wa Miguu uta fuata ni
SIMBA SC Vs POWER DYNAMOS
Live Updates zote utazipata hapa.
SaLm Kikeke- MC namba Moja Shughuli Ya Simba
View attachment 2709666
MC PETIT-Atakuwa Mc Namba 2 Shughuli ya Simba
View attachment 2709669
MC B Classic- Atakuwa Mc Namba Tatu Shughuli ya Simba, Sauti Nzitooo
View attachment 2709670
Mgeni Rasmi -Ni Rais Wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan
View attachment 2709671
ALI KIBA- Main Artist Kwenye Shughuli Ya Simba
View attachment 2709674
UPDATES:
Ifikapo Saa 2 Asubuhi Mageti ya uwanja wa Kwa Mpaka yatafunguliwa
Kutakuwa na Burudani Mbalimbali, Mchezo wa Kirafiki kati Ya Simba Queens na Msala Princess, CRDB BANK VS NMB BANK, Utambulisho wa wachezaji wa Msimu wa 2023/2024 na Baadae ni Mchezo Kati ya Simba Vs Power Dynamos