ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
- Thread starter
- #21
Simba wanatarajia kuwa Na surprises Nyingi Hapo Baadae Katika Uwanja Wa Benjamin Mkapa. Endelea kufuatilia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subirini kukuche tukajaze uwanja
Kiama chajaSimba Sio Kama Yanga Kufungwa Kwenye Matamasha Yao [emoji1787]
Ikijaza ndo ntakua mmebeba kombe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mm ni YANGA ila SIMBA DAY ITANOGA ITAJAZA WATU MPKA MAFURIKO
MIQSOON CHAMA BALEKE NGOMA SAIDIO PHIRI HAPANA JAMAN NAOGOPA NYIE SIMBA MMESHINDIKANA [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Mazembe aliwafanyaje tamasha la mwaka jana [emoji23][emoji23][emoji38]Simba Sio Kama Yanga Kufungwa Kwenye Matamasha Yao [emoji1787]
MWAMBIE AUZE NA UWANJA BAADA YA BANDARI [emoji2957]
Safi sana..tumeamka salama sikukuu yetu imefikaNi Siku Kubwa, Siku ya wenye Nchi, wengi
Wanaifahamu kama "Simba Day". Tutakuwa "LIVE
AND DIRECT" Hapa Kijiwe cha Soka "JAMII
SPORTS" Kukuletea yote vanaondelea kutokea
pale Benjamini Mkapa katika hii siku Kubwa, kwa
wana simba
Simba Sc Imetangaza Kufungua Mageti ya Uwanja
Kuanzia Saa 2 kamili asubuhi na Kutarajia Kuujaza
uwanza ifikapo saa 6 Kamili Mchana. Baada ya
Ticket Zote kuwa "SOLD OUT" Baadae Saa 1 kamili
Jioni Mtanange Wa Mpira Wa Miguu uta fuata ni
SIMBA SC Vs POWER DYNAMOS
Live Updates zote utazipata hapa.
SaLm Kikeke- MC namba Moja Shughuli Ya Simba
View attachment 2709666
MC PETIT-Atakuwa Mc Namba 2 Shughuli ya Simba
View attachment 2709669
MC B Classic- Atakuwa Mc Namba Tatu Shughuli ya Simba, Sauti Nzitooo
View attachment 2709670
Mgeni Rasmi -Ni Rais Wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan
View attachment 2709671
ALI KIBA- Main Artist Kwenye Shughuli Ya Simba
View attachment 2709674
UPDATES:
Ifikapo Saa 2 Asubuhi Mageti ya uwanja wa Kwa Mpaka yatafunguliwa
Kutakuwa na Burudani Mbalimbali, Mchezo wa Kirafiki kati Ya Simba Queens na Msala Princess, CRDB BANK VS NMB BANK, Utambulisho wa wachezaji wa Msimu wa 2023/2024 na Baadae ni Mchezo Kati ya Simba Vs Power Dynamos