FT: Simba Day | Simba SC 2-0 Power Dynamos | Benjamin Mkapa | Agosti 6, 2023

Uliwahi cheza hata open space mkuu?
Unafungua Vyumba kuelekea wapi watu wamekaa golini?
 
Simba ilikuwa inakuzwa nje ya uwanja ...Leo tumeshuhudia simba ni yakawaida mno...

Natabiri wataondoka kapa tena.
Sawa.
Hata msimu uliopita hatukuchukua ila ka-google ni ya ngapi.
Nyie wenye makombe mbona mlishindwa kucheza Champion league timu zenye ubora? Mlicheza mechi mbili tu?
Unajisifia umechukua makombe ukipambanishwa na timu ambazo zimechukua makombe huko kwao unadoda
 
Manara akitusi wenzake ni sawa, akitusiwa yeye kanyanyapaliwa,unapotusi ujue utarudishiwa
 
Mkuu , naingilia SIMBA kwa level ya Giants wa CAF, SUPER LEAGUE.. akina Esperance, Mamelody, Raja, nk..
Kama utawatazama simba kwa ya DYNAMO utaona sawa..
Lakini ukweli nikitaraji kuona ufundi mkubwa, domination ya kutosha..
Ila utaona Dynamo wakati fulani wanavyofunguka...kuna wakati wametukosa...
 
Yanga aliyechukua makombe misimu miwili alipambananishwa na timu ambazo zimechukua makombs kwao akaishia kucheza mechi mbili tu akatolewa.
Safari hii ukitolewa CAF champion league unatolewa, hauendi kucheza shirikisho
 
Umejuaje anatusiwa manara ? Inawezekana ni mzuka tu wa kishabiki wa huyo albino kwani uwanjani vituko si vipo vingi
 
Ila kweli Manara anakera sababu ya ujinga wake,mtu wa hovyo ila mlichofanya leo kumeishusha hadhi yenu. Mimi naamini Manara mdogo kuliko Simba kwani Simba ni taasisi, ila mlicho kifanya leo kama viongozi wamekibariki basi viongozi hamna.
Kitu gani tena kimefanyika mpaka umuhusishe na Manara?
 
Sasa hizo ni tafsiri na hisia zako binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…