FT: Simba Day | Simba SC 2-0 Power Dynamos | Benjamin Mkapa | Agosti 6, 2023

Ila kweli Manara anakera sababu ya ujinga wake,mtu wa hovyo ila mlichofanya leo kumeishusha hadhi yenu. Mimi naamini Manara mdogo kuliko Simba kwani Simba ni taasisi, ila mlicho kifanya leo kama viongozi wamekibariki basi viongozi hamna.
Nini kimetokea?
 
IMG-20230806-WA0084.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nini kimetokea?
Wamechukua albino na kumvalisha pampas,then alichokuwa akikifanya kwenye jukwaa kwa maelekezo ya maMC ni kitu kikichoshusha utu wake.Siajajua kama na yy kweli ni mzima kiakili au anauchizi fulani.

Mpira ni mchezo wa wastaarab,waungwana na watu wenye heshima. Moja ya lengo la mpira ni kuwaunganisha watu na si kuwabagua wala kuwatenganisha, hichi kilicho fanyika leo,kama walizani kina mgusa Manara basi wamekosea sana kwani huu ni ubaguzi na unyanyasaji zidi ya albino kwani.
 
Mhh kumbee..nimeangalia toka mwanzo sijaona hicho kitu au na ww ulikua uwanjani mtani kumwangalia mnyama liveeee
 
Mimi mwenyewe leo siku cheki game ,zote za Simba wala ya Arsenal ila kuna clip nimeiona daah ,ngojea utaiona sema sijatulia maana ndio natoka zangu mzigoni ningeipost.
 
Basi ni wachache wasiojielewa...ndo maana wengine hata hatujaona tuna raha zetu huku..na kwny wengi pana mengi..
 
Ila ukweli usemwe Simba Bado ni ya kawaida sana kwa mchezo walionesha dhidi ya nyoro nyoro power dynamo
Utimamu wa mwili SIMBA bado sana...
Cjui kama wana mazoezi ya nguvu.
Nimeona Onana, Ngoma , Kibu, micquson wakipushiwa tu wanahama njia...
Fanyieni kazi haraka kama lakini mna mawazo ya SUPER LEAGUE..
TULITEGEMEA MPIRA wa kasi, pasi za haraka haraka wakifungua vyumba ...Badala take angalau nimeona hilo kwa Dynamo..
Wenyeji umetubeba...

Cjui labda tusubiri
 
Mkuu 2-0 umebebwa na uwenyeji?

Mkuu unahisi mtu ni kisiki akisukumwa asianguke

Mkuu kama mpira ungekua wanaangalia nguvu za kutoanguka unahisi skudu angecheza mpira?

Mkuu wewe umeangalia mpira kwenye Tv unapata wapi nguvu ya kuhoji mazoezi ya nguvu kwa maono ya kwenye Tv

Mimi sijui mpira mkuu ila ina maana dakika 90 simba tulikua tunabutua tu kwamba hujaona playmaking yoyote ile dakika 90 kutoka simba mpaka umeona power dynamo bora kuliko sisi?

Hujaona pressing iliyokua inafanywa na wachezaji wa simba?
 
Back
Top Bottom