Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Wamezingua sana aisee, walisema wanaanza saa 5 ila wameanza kuonesha saa 8 mchana.Wapenzi wengi waburudani Wanailalamikia sanaaa AZAM MEDIA kwa Kuihujumu Simba na Mashabiki wake walio Lipia Ving’amuzi. Kwasababu Hawaoneshi Live
Mbona mapema sana kufanya conclusion ya namna hiyo mkuu,, kwani si ndio kwanza burudani imeanza au ulitaka uone nnWamezingua sana aisee, walisema wanaanza saa 5 ila wameanza kuonesha saa 8 mchana.
Kiukweli uwanja umefulika ila tamasha ni la hovyo tu.
Wiki ya kolo ndivyo mnavyoiadhimisha😂
Ila ww kama mwanga 🤣 🤣 🙂 😆tokabasi hapo sebleni nenda hata sehemu yenye vaib mskaji wangu usijekutusumbua humu na koment zako.
Meja atuburudishe kdgooooDakika ya 22
HT
Bonge la nyomi naona iwanja imefurika
Video ipo wapiMtoto wa Uswahili wakuitwa Meja Kunta ameenza Kushusha Performance yake Hapa
Tinataka nyomi nyomi iwe kubwa tiketi zimeshauzwa zoteNyomiiiiiiiii nyomiiiiiiiii nyomiiiiii
Kwani hulioni? Uwanja umeshajaa wamebaki VIP tuuu kuingiaTinataka nyomi nyomi iwe kubwa tiketi zimeshauzwa zote
Aaha hapo sawaKwani hulioni? Uwanja umeshajaa wamebaki VIP tuuu kuingia
Kwani koment zangu zinakuwajetokabasi hapo sebleni nenda hata sehemu yenye vaib mskaji wangu usijekutusumbua humu na koment zako.