Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
Unyama mwingi. Guvu moyaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa imekustudy.Huko mpirani tu babuuuuu punguza munkari
,
,🤣🤣🤣👏Ila Mwijaku na yule mwenzake wa uchawa wa viwango vya juu sana, aiseeh[emoji23]
kampokonya kiba chap🤣👏Naona Mwijaku kaambiwa rudisha mike.
ILA MWIJEKU ANASHOBO.
UJUE ANAWEZA PIGWA Mbupu
Ngamia mwenyewe anafurahia, huoni mineso hiyo?Mara paaaap Ahmed chini
Hahaaaa umewaza km mmMara paaaap Ahmed chini
Naona Salim Kikeke kageukia mechi za mchangani. Akifanya vizuri leo, mama anaweza kumpa kitengo ikulu.Ni Siku Kubwa, Siku ya wenye Nchi, wengi Wanaifahamu kama "Simba Day". Tutakuwa "LIVE AND DIRECT" Hapa Kijiwe cha Soka "JAMII SPORTS" Kukuletea yote vanaondelea kutokea pale Benjamini Mkapa katika hii siku Kubwa, kwa wana simba.
Simba Sc Imetangaza Kufungua Mageti ya Uwanja. Kuanzia Saa 2 kamili asubuhi na Kutarajia Kuujaza uwanja ifikapo saa 6 Kamili Mchana. Baada ya Ticket Zote kuwa "SOLD OUT" Baadae Saa 1 kamili. Jioni Mtanange Wa Mpira Wa Miguu uta fuata ni SIMBA SC Vs POWER DYNAMOS
Live Updates zote utazipata hapa.
SaLm Kikeke- MC namba Moja Shughuli Ya Simba
View attachment 2709666
MC PETIT-Atakuwa Mc Namba 2 Shughuli ya Simba
View attachment 2709669
MC B Classic- Atakuwa Mc Namba Tatu Shughuli ya Simba, Sauti Nzitooo
View attachment 2709670
Mgeni Rasmi -Ni Rais Wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan
View attachment 2709671
ALI KIBA- Main Artist Kwenye Shughuli Ya Simba
View attachment 2709674
UPDATES:
Ifikapo Saa 2 Asubuhi Mageti ya uwanja wa Kwa Mpaka yatafunguliwa
Kutakuwa na Burudani Mbalimbali, Mchezo wa Kirafiki kati Ya Simba Queens na Msala Princess, CRDB BANK VS NMB BANK, Utambulisho wa wachezaji wa Msimu wa 2023/2024 na Baadae ni Mchezo Kati ya Simba Vs Power Dynamos
Mchezo unao endelea sasa ni Simba Queens Vs Masala Princess
FT: Simba Queens 4 - 0 Masala Princess
FT : CRDB 1- NMB 0
Huyu mwamba huyuuu...😂kampokonya kiba chap🤣👏
Mkuu naomba unisaidie link, mechi imenikuta kazini tafadhari.View attachment 2710052
Ila ahmedi ally🤣🤣
Burudani za hovyo , kiba kawabeba sana.Kwahiyo akizingua mmoja ndo tamasha zima limeharibika ?