FT: Simba Day | Simba SC 2-0 Power Dynamos | Benjamin Mkapa | Agosti 6, 2023

FT: Simba Day | Simba SC 2-0 Power Dynamos | Benjamin Mkapa | Agosti 6, 2023

Haha, ngamia tena?[emoji23]

Huu ubunifu wa kiwango cha juu sana.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Msemaji Maarufu Nchi, Msemaji Wa Simba, Ahmed Ally Akiingia Uwanjani na Ngamia

Akisindikizwa na Wimbo wa Mboso
 
  • Thanks
Reactions: BRN
IMG_20230806_161125.jpg

Ila ahmedi ally🤣🤣
 
Ni Siku Kubwa, Siku ya wenye Nchi, wengi Wanaifahamu kama "Simba Day". Tutakuwa "LIVE AND DIRECT" Hapa Kijiwe cha Soka "JAMII SPORTS" Kukuletea yote vanaondelea kutokea pale Benjamini Mkapa katika hii siku Kubwa, kwa wana simba.

Simba Sc Imetangaza Kufungua Mageti ya Uwanja. Kuanzia Saa 2 kamili asubuhi na Kutarajia Kuujaza uwanja ifikapo saa 6 Kamili Mchana. Baada ya Ticket Zote kuwa "SOLD OUT" Baadae Saa 1 kamili. Jioni Mtanange Wa Mpira Wa Miguu uta fuata ni SIMBA SC Vs POWER DYNAMOS

Live Updates zote utazipata hapa.

SaLm Kikeke- MC namba Moja Shughuli Ya Simba

View attachment 2709666

MC PETIT-Atakuwa Mc Namba 2 Shughuli ya Simba

View attachment 2709669

MC B Classic- Atakuwa Mc Namba Tatu Shughuli ya Simba, Sauti Nzitooo

View attachment 2709670

Mgeni Rasmi -Ni Rais Wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan

View attachment 2709671

ALI KIBA- Main Artist Kwenye Shughuli Ya Simba

View attachment 2709674

UPDATES:

Ifikapo Saa 2 Asubuhi Mageti ya uwanja wa Kwa Mpaka yatafunguliwa

Kutakuwa na Burudani Mbalimbali, Mchezo wa Kirafiki kati Ya Simba Queens na Msala Princess, CRDB BANK VS NMB BANK, Utambulisho wa wachezaji wa Msimu wa 2023/2024 na Baadae ni Mchezo Kati ya Simba Vs Power Dynamos

Mchezo unao endelea sasa ni Simba Queens Vs Masala Princess

FT: Simba Queens 4 - 0 Masala Princess

FT : CRDB 1- NMB 0
Naona Salim Kikeke kageukia mechi za mchangani. Akifanya vizuri leo, mama anaweza kumpa kitengo ikulu.
 
Back
Top Bottom