Introsagvert
JF-Expert Member
- Sep 9, 2019
- 1,459
- 3,020
Dynamo wanapiga Kona ya tatu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣Kibu apumzike tu
Bado hujasema,mpaka utasema yote leo mbonaHamna kipya hapo mikia...
Hamna kituu
Wana kiwewe kwa unyama mwingi wa mnyama 😂Wanapiga kona halafu wanaokoa wenyewe
Umenikumbusha utotoni eti kiuongo uongo [emoji3][emoji3]Hawa Daynamo si tunacheza kiuongo uongo ye anapiga za kweli.
Ngoja tumuoneshee
Unateseka ukiwa wapi dogo?Hamna kipya hapo mikia...
Hamna kituu
Skudu usimlinganishe na vitu vya ovyo ovyo.Yanga walimsajiki Skudu eyi kwa ajili ya skills za kuchezea mpira.
Now nadokezwa hapa kuwa kuna vitu Skudu anajifunza kutoka kwa Onana kupitia hii mechi
🤣🤣😂😂🤣🤣Unateseka ukiwa wapi dogo?
Pulomo ni nyingi kuliko uhalisiaUlitaka uskie nini kwenye watu 60k?
Vinanda au?
Angalia response ya watu......