FT: Simba Day | Simba SC 2-0 Power Dynamos | Benjamin Mkapa | Agosti 6, 2023

FT: Simba Day | Simba SC 2-0 Power Dynamos | Benjamin Mkapa | Agosti 6, 2023

Hizi jezi Dynamoo zitawaponza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mbona sisi tupo live uwanjani afu mnachokiandika hatukioni mbona mnadanganya watu mitandaoni? shoo ya kawaida sana mara mseme alikiba sjui kaweje mara sjui ubunifu! upi sasa

Tupo uwanjani live acheni mhemko uongo uongo tu
Sasa ww unaona kwaa mbaaali Ila sisi wa TV wanazoom tunaona had chunusi ya mchezaj
 
Back
Top Bottom