FT: Simba SC 1-0 Ihefu FC | Ligi Kuu Bara | Stade de Benjamin Mkapa 12/11/2022

Hamna cha ajabu Simba kushindwa kufunga magoli mengi kwa Ihefu. Sasa kama nasikia walipaki basi mnategemea nini. Bora ukutane na alieshiba kuliko kukutana na mwenye njaa yy hapotezi. Kwanza nimeona hapa baada ya mechi Ihefu walikua na faulo 21 sasa unategemea hii timu ilikua na lengo gani.
 
Wanakimbia kimbia bila mipango nammisi Sana kocha kishingo

Hawa ndio type ya mashabiki ambao wanaamini kwenye kushinda tu

Siku matokeo yakiwa vice versa basi lawama ni kocha

Hakuna yeyote kati ya hawa ambaye atatoa pongezi kwa mpinzani kuwa leo alikuwa bora

Mechi ya leo kama ni mwanasport lazima uwape pongezi Ihefu kwa mipango yao japo matokeo ya mwisho Simba wameshinda ila ukiangalia approach waliyokuja nayo Ihefu utaona wameweza ku achieve kwa asilimia ngapi
 
Wachezaji wa viwongo vya chini, kacheze na man u afu upaki basi,utafungwa tu
 
Ulikuwa unasema?

ngeweka 50K yako uone ilivyokuwa inakugharimu

Sema hata wewe ulistuka ukaona mmmh hapa sio
Nyie wabovu bhana

Ligi nani anaongoza?
 
Unajua kwamba leo MC kapigwa?
 
Uwe unaangalia mpira
 
Nyie wabovu bhana

Ligi nani anaongoza?
Ungeweka hela sasa

Na usikute uliibetia Simba ila huku mtandaoni ukija unavimba kudai kuipinga wakati mlo wako wa kesho umesababishwa na Simba

Unasema wabovu at the same time unaogopa kutia mzigo?

Umecheza mechi ngapi mpaka unaongoza ligi?

Na huyo unayemtambia, amecheza mechi ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…