Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Nipo mkuu ndo narudi home. Sikua hewani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo mkuu ndo narudi home. Sikua hewani.
Daah, hii dharau kubwa sana yaani..! Okay ni muda utazungumza..!Wekundu wa MgundaView attachment 2414817
Kuna mtu humu kamvalia njuga kama alimsajili yeye sisi tunaona faida yake.Sakho amewaziba mdomo wale waliofikiri alipata goli Bora la Africa Kwa bahati mbaya
Wanakimbia kimbia bila mipango nammisi Sana kocha kishingo
Hawa ndio type ya mashabiki ambao wanaamini kwenye kushinda tuSimba hii sio ile tunayokuwaga tunaitarajia kabla ya mechi. Yaani game ikianza, pass nyingi zisizo na madhara, mpira unachezwa sana nyuma na kati na ubunifu wa viungo kupiga pasi mpenyezo na mashambulizi ya kushtukiza hakuna kabisa. Kwa mpira huu gap la Chama linaonekana wazi....
Washaanzisha uzi kuleMihogo naona kama mmenuna hivi leo simba kushinda,,, basi tufanye ihefu kashinda!!!
Refa aliamuru mkwaju wa penalty lakini alipata usaidizi wa mshika kibendera kuwa ilikuwa nje ya box la 18.sijaangalia mpira, hii penalty amekosa nani???View attachment 2414829
Wachezaji wa viwongo vya chini, kacheze na man u afu upaki basi,utafungwa tuHamna cha ajabu Simba kushindwa kufunga magoli mengi kwa Ihefu. Sasa kama nasikia walipaki basi mnategemea nini. Bora ukutane na alieshiba kuliko kukutana na mwenye njaa yy hapotezi. Kwanza nimeona hapa baada ya mechi Ihefu walikua na faulo 21 sasa unategemea hii timu ilikua na lengo gani.
Nyie wabovu bhanaUlikuwa unasema?
ngeweka 50K yako uone ilivyokuwa inakugharimu
Sema hata wewe ulistuka ukaona mmmh hapa sio
Unajua kwamba leo MC kapigwa?Bila kutafuta kocha mwingine simba haina kitu. Kocha hana mbinu anabebwa na uwezo binafsi wa wachezaji. Pengo la chama linaonekana. Kocha alitakiwa kutengeneza mbadala. Unapata ushindi wa taabu kwa timu inayoburuza mkia hiyo maana yake timu yako haiko vizuri.
Uwe unaangalia mpiraHamna cha ajabu Simba kushindwa kufunga magoli mengi kwa Ihefu. Sasa kama nasikia walipaki basi mnategemea nini. Bora ukutane na alieshiba kuliko kukutana na mwenye njaa yy hapotezi. Kwanza nimeona hapa baada ya mechi Ihefu walikua na faulo 21 sasa unategemea hii timu ilikua na lengo gani.
Ungeweka hela sasaNyie wabovu bhana
Ligi nani anaongoza?
Ngoja niwaibukie huko huko pumbavu zao😃Washaanzisha uzi kule
Ni premier league 😀 😀 😀Kheee..!Uzi gani tena ambao wapo huko [emoji16][emoji16][emoji16]
Ni Premier League au michuano ya CAF
Mwisho wa siku aliekua bora ameonekana mkuu japo haijapendeza kwa goli moja..maana mara ya mwisho walitandikwa 4 hapoUwe unaangalia mpira