FT: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania | NBC PL | KMC Complex | 24.12.2024

Kila siku marefa wanaochezesha mechi ya Makolo wanakimbia baada ya kumalizaa mpira,kwani shida ni nini???..
 
Wanaobanwaga na kutoa ulimi nje huwa hawafungi penati...

Mkumbuke Azizi walivyokosa penati kwa nyuki wa Tabora ndo utajua waliobanwa hadi kutoa ulimi nje wanavyokuwaga.

Pole kwa maumivu uliyoyapata baada ya nyavu kutikiswa na mtu makini Ahoua.
Wanaobanwa wanajiweka kama Kijili
 
Nimeinjoi sana, kipa kapelekewa moto na atalala hoi, timu imefungwa lakini Man of The Match ni kipa.Najua umeumia sana maana ulitegemea draw
Nilitegemea ushindi mkubwa na mpira mwingi ila imekuwa tofauti
 
Wanaobanwaga na kutoa ulimi nje huwa hawafungi penati...

Mkumbuke Azizi walivyokosa penati kwa nyuki wa Tabora ndo utajua waliobanwa hadi kutoa ulimi nje wanavyokuwaga.

Pole kwa maumivu uliyoyapata baada ya nyavu kutikiswa na mtu makini Ahoua.
Timu kama Jkt unatoa ulimi nje,unabaki kutegemea mwamuzi akubebe ndio ushinde na bado unasema unautaka ubingwa kwa stahili iyo🚮🚮
 
Timu kama Jkt unatoa ulimi nje,unabaki kutegemea mwamuzi akubebe ndio ushinde na bado unasema unautaka ubingwa kwa stahili iyo🚮🚮
Umefungwa na Tabora United tena chuma 3.Jifunze mpira wacha kuwa shabiki maandazi. Simba ndio timu iliyofunga magoli mengi na kufungwa chache.Kozi ya urefa unamalizia lini?Ukachezeshe.
 
Timu kama Jkt unatoa ulimi nje,unabaki kutegemea mwamuzi akubebe ndio ushinde na bado unasema unautaka ubingwa kwa stahili iyo[emoji706][emoji706]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ubaya ubwela mamaeh..
 
Reactions: Tui
Kweli, sisi twategemea sindano na magoli ya mikono kushinda
Nyie jamaa mnanichekesha sana. Hayo magoli mbona mi siyaoni zaidi ya vipicha vya mchongo na mniambie yamefungwa mangapi hayo magoli ya mkono. Hizo sindano ni propaganda iliyoandaliwa na mtu mmoja tu na nyie mmeishi nayo. Haya komaeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…