FT: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania | NBC PL | KMC Complex | 24.12.2024

FT: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania | NBC PL | KMC Complex | 24.12.2024

Huyu mpanzu hana tofauti na yule babu "sijiaraei" anayecheza kama kawehuka hivi .

Tofuati yao hao wawili ni vipara tu mmoja kaweka way kichwani
 
Aliyemwambia Kipa kuwa kupoteza muda ni dawa kamdanganya. Mungu hapendi kupoteza muda
 
Kocha wetu kwenye sub ni Bure kabisa. Joshua akipoteza mpira hakabi, na hana mbio. Chemalone kwenye pressure huwa anatoa boko. Mechi ilibidi imalizwe na Chamou na Kagoma, sio boya Mutale.
 
Jkt wanacheza mpira wa darasani kabisa

Wanashindwa kumalizia tu mbele wako wachache sana wakifunguka kidogo tu lazima kolo ajitie leo
 
Back
Top Bottom