FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

Hii mechi nilivyokuwa naisubiri kwa hamu imenitumbukia nyongo! Sina hamu...
Nashukuru Mungu sikuwa nimekata tiketi ningepata hasara kwa kutokwenda. Ila, nitaangalia tu kupitia TV na naitakia kheri timu yangu Yanga.
 
Utopolo wana points zetu 6
 
Hii mechi nilivyokuwa naisubiri kwa hamu imenitumbukia nyongo! Sina hamu...
Nashukuru Mungu sikuwa nimekata tiketi ningepata hasara kwa kutokwenda. Ila, nitaangalia tu kupitia TV na naitakia kheri timu yangu Yanga.
nifah mrembo kwanini usiniambie mapema ningekupitia tuende wote jamni
 
Kama Khali ya hewa itaendelea kuwa hivi mpaka jion muda wa mpira tutegemee magoli mengi na ushindi kwa timu tishio zaidi Africa na ukanda wote Africa ya mashariki na maziwa makuu 🦁🦁🦁🦁
 
Kweli weka takwimu za mechi tatu za mwisho tuone ukibonde wa simba kwa yanga na jinsi alivyobebwa.
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…