FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

Bado haujasema πŸ˜ƒ
 
Simba imefungwa lakini sio kimpira ! Ndio maana timu zetu za kitanzania hazifiki mbali.!

Kama refa anachezesha huku anashabikia magoli ujue huyo sio refa.
Weka clip za refa akishabikia goli, kuna penati ya wazi kainyima Yanga kipindi cha kwanza, wachezaji wa Simba wakiguswa tu anapuliziwa filimbi halafu wa Yanga mtu mpaka ana ng'ang'ania mguu kwa mikono refa anapeta tu.
Ukiachana na ile penati je kuna goli lililofungwa ni la offside kati ya yale manne? Au kuna goli lipi limetokana na refa?
La mwisho refa nae ni binadamu, kama kuna vitu vya kuchekesha atacheka tu mfano ni hili la timu kubwa kufungwa kama JKT Tanzania vile lakini usisahau kuniwekea video ya refa akiwa anacheka hapa
 
Haya mkuu [emoji23][emoji23] umiliki usio na faida
 
Kiko wapi πŸ˜‚πŸ˜πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜πŸ€£
 
Ni ujinga kutokubali kushidwa na wako umezidi umekuwa upambavu.
 
Wamenyweaaaaaa kila mmoja anapita njia yake saii🀣🀣🀣🀣
Yangaaaa
πŸ’ͺπŸ’›πŸ’›πŸ’›!
Kumbe nawe ni mwananchi πŸ˜ƒ,kunywq fanta baridi hapo kwa mangi nitakuja kulipa
 
Ile ya uto ilikuwa Simba 6- 0 Yanga. Mwewnyekiti wa klabu ya Yanga enzi hizo alikuwa ni maarufu sana, jina lake ni TABU MANGARA!! Baada ya dk 90 mzee Tabu Mangara hakuweza kusimama kutoka kwenye kiti chake!! hakuamini kilichotokea!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…