FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

Ni mambo ya kutesa kwa zamu, wala hakuna la ajabu hapo!! Tunawasubiri mechi ya mzunguko wa pili na hamtaamini kitakachowatokea!! Kwa leo uungwana ni kuwapongeza sana watani wetu, ila wasivimbe kichwa!!
 
Hujui mpira magoli ya kizembe mno yale.
 

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnatuonea Bure tu, ila Ukifanya research ndogo hata humu JF utagundua nyie mlivyo na fujo, hasa timu yenu ikifungwa kama hivi.

Hata kitaa, furaha za matokeo ya leo hazitozidi siku mbili au 3, ila ingekuwa nyie mngetembea nazo hadi December
Basi endleeni kuruka ruka angalieni msidondekee kwenye madimbwi[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…