FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

Simba hatuna uwezo wa kupita kwenye Penalties kick, ni bora wachezaji washinde humu humu ndanii.

Nakerekwa hasa, huu si upuuzi, wachezaji washa jichokea, aaah
Wewe tulia hapohapo unaanza kulialia nini tulia hapohapo milio ya nini sasa?
 
Noumaaaa sana..!! Leo Simba ushindi wenu watani zetu..!!
Nilicheka Twitter grok alivyoitafsiri Yanga 😹😹
😂😂😂😂😂
Tunaweza kushinda, ila tusifuzu.
Hii game ni kufuzu uduguu, haihitaji ushindi tupu.
Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…