FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

wafuasi wa nyau wale mapema sana maana leo watakufa kwa kihoro
 
Mtani leo una furaha sana,
Nipe siri ya furaha yako
Nina furaha Mtani sababu mna asilimia chache sana za kusonga mbele na hii inatokana na nyie wenyewe hasa kwenye huu uzi vile mmejikatia tamaa. 😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…