FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

Nishavaa jersey yangu ya Mwananchi, niwahi Taifa nikamshangilie mwarabu. Sema leo Dar jua linawaka sana.
Sio kweli Kuna mvua mvua za hapa na pale nipo sio mbali Sana na lupaso arena 🏟️

Kila lakheli kwetu 🦁 🦁 🦁 japo sina Imani πŸ’― Ila taifa linaenda kuheshimishwa πŸ’―
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…