FT: Simba SC 2-0 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 15.03.2024

Kwahyo shida kumbe sio GSM kudhamini team 8 ila ni viongozi wenu wenyewe..?? Alaaah, sikujua hili
 
Wakuu mbona naanza mashaka na huyu kocha,mpira hauvutii,hata kama wachezaji wabovu ina maana plan zake ndo hizi?
πŸ˜…πŸ˜…Mnatishwa na midevu?, Benchika hamna kocha... Alikuja kipindi ambacho kila mchezaji Alitak kumuonesha anajua apate namba, ila hana mbinu mbadal zaidi ya uwezo wa mchezaji mmoja mmoja... Chama hayupo kwenye siku zake πŸ˜… kwahiyo timu haiwezi kupga matokeo.

Simba ni chama Wala sio Benchikha... Kama chama hayupo form timu inakuwa ya wapiga nyeto 🀣🀣🀣🀣... Maniner zenu.
Utakuta yanasema eti pyepyeeeeee GSM anadhamini timu 8.
 
Mtanihadithia siwezi kuwaangalia akina babacar sar sijui kibu sijui saidoo, freddy utopolo mtupu. Yani papatu papatu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…