FT: Simba SC 2 - 0 Singida Fountain Gate | Mapinduzi Cup| Aman Complex | 03.01.2024

Si una watsup? Kule kwny status zako angalia chini utaona sehemu imeandikwa channels utaaangalia hapo utakuntana na chanels za mitimu mikubwa mikubwa...na kina Samia suluhu pia wapo na Simba utaikuta humo then utafollow..nadhani haina link..
Muulize kwanza anatumia WhatsApp gani.
 
Si una watsup? Kule kwny status zako angalia chini utaona sehemu imeandikwa channels utaaangalia hapo utakuntana na chanels za mitimu mikubwa mikubwa...na kina Samia suluhu pia wapo na Simba utaikuta humo then utafollow..nadhani haina link..
Oooh hapo sawa ahsantee, [emoji120][emoji120]
 
IMG-20240103-WA0118.jpg

Sio nyama tu hata Alizeti leo inaliwa, Hatutaki dharau. #NguvuMoja
Cc
cocastic
Kalpana
 
Simba mmenipa raha sana leo...
Hasa akifunga Onana...
Leo tena Luis kaosha nyota basi moyo kwatuuu...
Simpendi Onana...
Luis Namkubali Sana japo mi n Yanga lakini my little boy Nimmempa jina la Miquissone kumuenzi jamaa.. natamani arudi kwenye kiwango chake cha zamani
 
Timu kubwa inacheza na timu kubwa na kuifunga magoli ya halali tofauti na watoa supu kucheza na vitimu vidogo na ushindi wake mpk kupata msaada wa refa kujifanya kipofu
 
Si una watsup? Kule kwny status zako angalia chini utaona sehemu imeandikwa channels utaaangalia hapo utakuntana na chanels za mitimu mikubwa mikubwa...na kina Samia suluhu pia wapo na Simba utaikuta humo then utafollow..nadhani haina link..
WhatsApp Channel ya Simba wanachelewa sana Ku update aisee
 
Back
Top Bottom