ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Wachezaji ni kama wamechokaa..Naona kama tumekosa mbinu kidogo hapa Mnyama au mimi naonaje?
Hasibu la FIFA lenye ACCA ya mchongo dah.....View attachment 2795685
Correction. Mume wa Yanga ni sisi, Ihefu ni danga lake tu
Ila tutashinda tyuWachezaji ni kama wamechokaa..
Saido na chama wanapoteza pass
Kwa upupu aliouandika kwenye uzi wake wa Aziz Ki sidhani kama anajua kirefu na maana ya ACCAHasibu la FIFA lenye ACCA ya mchongo dah.....
Simba ni Mke wa kudumu wa Yanga,sababu ndio anaongoza kufungwa na Yanga matches nyingi na goli nyingi kuliko timu yoyote Duniani.View attachment 2795685
Correction. Mume wa Yanga ni sisi, Ihefu ni danga lake tu