FT: Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

Fair results Simba hatukua kwenye ubora unaostahili kushinda hii mechi
Hapana ubora ulikuwepo mchezo wa leo ulikua wa wazi naweza sema katika mechi 5 zilizopita hii ndo mechi simba imecheza mpira ni uzembe tu wa kibinadamu umetugharimu but so far siwadai wachezaji walivuja jasho. Makosa pekee ninayoyaoonani kwa kamara kua bubu hasa kwa mechi kubwa kama hizi.
 
Ndio maana Simba ni timu Bora ukanda huu WA Afrika. Timu inapata upinzani kila mechi huwezi kuwafanisha na wale wenye point 24 uhakika za Umoja WA timu za GSM.
Kunywa maji mengi mrembo
 
Ndio maana Simba ni timu Bora ukanda huu WA Afrika. Timu inapata upinzani kila mechi huwezi kuwafanisha na wale wenye point 24 uhakika za Umoja WA timu za GSM.
Kaa kimya una point sita zetu wewe tena za magoli mengi sana😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…