FT: Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

Haya waliosema kwamba yanga anaongoza endapo simba kama hajacheza ,haya tunaassume mechi inayokuja simba mnashinda ,bado kuna gap la point moja ,ndiyo zile hesabu squence and series nilizokuwa namwambia Kalpana ,gap litaongezeka hadi kuwa na michezo miwili mkononi mbele.
 
Mechi ijayo kolo anakutana na tawi lake coastal Union, mechi iliyopita ilibaki kidogo tawi limkande refa wao wa mchongo mgawa matuta na kadi akawasitiri.
Tareh 1 si ajabu wakalimwa hata goli mbili na zile beki zao zilizokatwa miguu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…