FT: Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

Mchezaji pekee wa Azam fc anayeweza kuanza kwenye kikosi cha simba ni Fei. Hivyo kipondo mtakachopata leo ni halali yenu.
 
Refa ni Arajiga, tobaaah huyu ametumwa kuja kuivuruga Simba.
Silipendi hili li macho kengeza, shabiki lia lia wa utopolo,
Mxxxxxiiiiiieeeeew
Tulia wewe!

Arajiga ni mwamuzi wa Kimataifa na anayeheshimika kwa kuchezesha vizuri na pia kwa kufuata sheria 17 za soka. Hakuna bahasha pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…