FT: Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

FT: Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

Wameanza kulia
Screenshot_20250224-200123.png
 
Uto kila mkija na hoja za matawi ya Simba mnaumbuka. Jifunzeni jinsi mechi za ushindani zilivyo.

Yaani hapa haujui nani atashinda mechi, huo ndio utamu wa football. Mnatukwaza sana.
Kwakweli yanga wanaharibu sana mpira wetu.
 
Hii game ya leo kila timu ina mdhamini wake, sio kama
Mazingaombwe ya juzi bumbaav
 
1/4 final cafcc, hii ndiyo simba inayoenda kucheza na Almasry?
Hii simba inayocheza leo siyo timu ya kutegemea kushinda mechi yoyote.
Inawezekana wanabebwa tu na jina la simba
 
Makolo mnajisikiaje kucheza mechi safi haina makando kando linachezwa soka vizuri bila kusubiri huruma ya waamuzi?

Tunategemea kumaliza mechi salama bila huruma ukishinda ushinde kihalali naukifungwa ufungwe bila makosa ya kibinadamu. 45'--->
 
Hivi mbona zile display za matangazo ya electronics zimetolewa?
 
Back
Top Bottom