Mfufua Nyuzi
JF-Expert Member
- Mar 11, 2024
- 412
- 395
Naam yametimia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DoneHii wanatakiwa Watoe droo; halafu ijayo wafungwe; Hapo ndipo ligi itaanza kuchangamka Rasmi!
Kila la heri coastal union, you are in my prayers!
Sawa ndio mpate sare wanetu 😂 😁Viongozi wawe makini, kuna mabeki wanaweza kutumika vibaya kuwaumiza wachezaji wetu muhimu...
Tukumbuke Yanga ni zaidi ya wachawi...
All in all kila lakheri Simba...
Tulieni tuko kwenye kikao...Sawa ndio mpate sare wanetu 😂 😁
Sawa mtani 😂 😁Tulieni tuko kwenye kikao...
Matokeo ya leo yana maana kubwa tarehe 19.
Go Lion 🦁
Up Reds❤️❤️❤️
Au sioAteba baba piga hatrick ili jione nione malalamiko mitandaoni
Simba nguvu moja
Coastal tu mmeshindwa, akija Singida black stars mtaweza?Msiwe na haraka kila mtu atafungwa na simba🦁,ni swala la muda tu zamu yako itafika.
Kiko wapiAttebaaaaaaaaa 2-0
Faulo ya KMC waliyompigia Diara kwa pazia kama Camara ni waya, ila RD alijinyakulia kama vile anaogelea angani.Tulimuambia camara asiwe anajaribu kumuiga diarra,leo ndio atayakumbuka maneno yetu
I agreeUwezo wa kutengeneza CLEAR CHANCE upo chini sana...
Fuatilia magoli mengi ya SIMBA 80%...sio ya kiufundi..
Tatizo cjui kuwa ni nature of PLAYERS au mfundishaji ...?
Pole sana mtani,ndio matokeo ya soka.Simba ya sasa ni kama Man city huna hofu yaniii...hofu wanakua nayo hao wa chini wanaokanyagwa hapo kwny msimamo...😃😃😃😃
Elewa swali mkuuBado hamuamin kama mmekaziwa? 🤣🤣.
Kubalini tubyaishe msonge mbele
Yan nimekuelewa mpaka kupitiliza mkuu..saikolojia inaonesha waz wewe ni simba na umeumizwa sana kias kwamba umejiulza maswali na umekosa majibu😂😂Elewa swali mkuu