Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Huyu ni mpuuzi mmoja. Ana kitete sana, kwa kifupi hamna kitu.Anakosa kosa sana.
Mahali pakufunga anatoa assist, mahali pa kutoa assist anataka kufunga!!
Wangefika ila Simba ina ugonjwa wa kuridhika.Nilisema leo kuna 4+ hapa
Umeanza lini kuitakia heri....na tushasema hatuna majirani 🤨
Hana cha muda huyo. Mpira sio mchezo wa kutoa muda kwasababu alikotoka alikuwa anacheza mpira pia.Tumpe muda