FT: Simba SC 3-0 Namungo FC | NBC Premier League | KMC Complex | 25.10.2024

Namna gan pale! Hawa maveteran wa Namungo washakata moto🤣🚮
 
Camara anafanikiwa kudaka mpira uliokuwa na hatari kubwa baada ya Namungo kufanya counter attack
 
MUSSA KAMARA anaweza kucheza kabisa EPL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…