Ni bwana ako wewe alokufunga.Mara hii umeshaanza kuwakataa. Hata bwana wako mabululu ni mpuuzi!
assist ya atteba katoa nani mkuuLina pasi ngapi boss?
Amesajiliwa kwa 4B huyo. Kumbuka Kagoma alitaka 30M tu ikashindikanaMabululu ni Mwananchi
P didy anahangaika kuanzisha nyuzi Hazina miguu wala kichwa. Sijui ana shida gani?
Sisi tuna MUNGU wao Wana tunguliMatch Day.
View attachment 3102741
KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO
View attachment 3103260
#nguvumoja#
2'
Mpira umeanza hapa Kibu anapoteza mpira wakati anakimbia kufanya mashambulizi.
16'
Mabululu anaipatia Al ahly Tripoli goli la kuongoza.
0-1
Mpira ulifikaje golini kwao hadi Atteba afunge?assist ya atteba katoa nani mkuu
MWARABU ATAPIGWA 4Yaniii wanaremba na adui yupo na silaha tena mlango mwaooo!
Ila waarabu watarudisha bana😂!
Cc Smart911
Hujui mpiraWakuu goli la ugenini inahesabika? Ikiisha 2-1 ni matuta au Simba inapita?
ulirushwaMpira ulifikaje golini kwao hadi Atteba afunge?