FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

Waarsbu inabidi wacheze waache kuzuia vinginevyo itawacost

Kule libya walicjeza vizuri sana hawatakiwi kuwapa nafasi ya ku relax hawa Simba
 
Goli la Kibu nilifanikiwa kulipata sema Airtel ni kama department ya internet iko chini ya Gongowazi maana halikuniwezesha niweze kuchukua bao la pili
 
Wakuu goli la ugenini inahesabika? Ikiisha 2-1 ni matuta au Simba inapita?
 
Back
Top Bottom