FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

Ubishi unnecessary.

Kifupi team zetu kwa sasa ziko vizuri.

Azam wanapesa, ila wakoje?
wameshinda mara ngapi kombe la ligi kuu??
 
Ubishi unnecessary.

Kifupi team zetu kwa sasa ziko vizuri.

Azam wanapesa, ila wakoje?
wameshinda mara ngapi kombe la ligi kuu??
Sipo kwaajili ya kubishana ila nataka kueleweshwa, yoyote atakayenieleza ni Tripol ni ndogo katika aspect ipi inapokuwa compared to Yanga Sc, nitakubaliana nae.
 
Afu na yeye Simba anaitakaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkataba wake ni mrefu sana.

Simba hatutaweza kuvunja mkataba wake wa karibia $1M
 
Una raha gani kufurahia Loser cup Kombe la kiduwanzi?
Watu weuweeeeeeeeeeeeee!!!!!
Poleeee kwa kutesekaaaaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kweli pale ilikuwa jamani hapa tunakaza pumbu mpaka half time game iwe 1-0. Wacha wakalaumiane kambini.
Sasa sie tunasubiri mechi za maana hapo kwa mkapa.
 
Kweli pale ilikuwa jamani hapa tunakaza pumbu mpaka half time game iwe 1-0. Wacha wakalaumiane kambini.
Sasa sie tunasubiri mechi za maana hapo kwa mkapa.
Huna baya unaongeaga fwaktii japo kwa matusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…