FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

Naitwa Eliona Rwezahura kutoka Biharamulo, Naitakia ushindi club yangu Al ahly tripoli. Natuma salamu kwa Godwin Rwechungura akiwa Muleba na Mujuni Tibaijuka wakiwa Muleba. Ujumbe Tripoli Nguvu mbili
Aisee!! 😲😲
 
ohoo! kumbe watani leo mpo uwanjani nilikuwa sijui!,basi sawa nitacheki game yenu na kwakuwa ni mechi yakimataifa mnapeperusha bendera leo nitawashangilia mpk nikauke kidaka tonge! ila mkifungwa basi sitawaacha na amani! wakwanza kumsema atakuwa huyu Kalpana na kaka yake Mshana Jr sasa kaliaibisheni taifa sasa!...

chimba guvu moya..💪😁
 
IMG-20240922-WA0011.jpg
 
Kadri muda unavyozidi kwenda ndivyo mioyo ya wana Simba inazidi kukosa amani.
 
Al Ahly mjitahidi jamani first half mmalize mpira......

Friends of Al Ahly tunawatakieni ushindi wa kishindo....tatu zitapendeza.
 
FT DRW
1-2/
2-2
SIMBA ANAGA MASHINDANO
NIKOKWA WAKALA
 
Hamna kitu humu, mnamkuza tu.
Bora hata yuke striker wao aliyeingia kipindi cha pili, lakini huyu muda wote aliyecheza alikuwa kama abiria tu tena ambaye hata nauli hajalipa bali amepewa lift.
Lazima angeonekana abiria kwasababu timu nzima iliamua kuwa mabeki ambao walikuwa awavuki mstari wa katikati!
 
Kama unaumwa.pressure hakikisha unaenda na dawa zako sehemu unapoangalia mpira
 
Watanzania wote tuungane, tuoneshe upendo kwa wageni wetu kutoka LIBYA dhidi ya Simba, tuwaombee wapate ushindi mnono warudi kwao kwa furaha.
 
Last tym niliwaandikia leo simba ameshinda sana drw ft

Na leo nawambia tena ft drw

Mbya ya magoli
 
Back
Top Bottom