Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaonyesha marudio ya game ya yanga saa 10Kwa nin ?
Naomba uweke kikosi kinachoanza Leo.
Kila la kheri wana simba, sisi jambo letu tumemaliza jana.
AmeeeeenAl Ahly mjitahidi jamani first half mmalize mpira......
Friends of Al Ahly tunawatakieni ushindi wa kishindo....tatu zitapendeza.
Lazima angeonekana abiria kwasababu timu nzima iliamua kuwa mabeki ambao walikuwa awavuki mstari wa katikati!Hamna kitu humu, mnamkuza tu.
Bora hata yuke striker wao aliyeingia kipindi cha pili, lakini huyu muda wote aliyecheza alikuwa kama abiria tu tena ambaye hata nauli hajalipa bali amepewa lift.